Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 146 | Umetazamwa mara 476
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C
TAZAMA BIKIRA
KIITIKIO
Tazama bikira atachukua mimba (mimba) atamzaa mtoto mwanaume mtoto mtoto mwanaume. x 2
MASHAIRI
1. Naye atamwita atamwita jina lake Imanueli.
2. Siagi asali atakula ajuapo kuyakataa mabaya.
3. Bwana atawapa ishara ya kuzaliwa mwokozi wetu.