Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 180 | Umetazamwa mara 531
Download Nota Download MidiMALKIA WA MBINGU (REGINA CAELIUM)
KIITIKIO
Ewe mama wa uwingu Malkia wa mbingu tunatoa machozi tunalia wanao (tunaomba) mama wa mwokozi uwe wetu mwombezi. X 2
(I:(mama wa Mungu ma - - - - - - ma) II: (mama wa Mungu mama) III: (mama wa Mungu) mama wa Mungu mama (mama) utusaidie (sisi) tufike Mbinguni. IV: (mama wa Mungu) III & IV (mama wa Mungu mama) I: ( mama wa Mungu) mama wa Mungu mwana mama utusaidie (sisi) tufike Mbinguni.) X 2
MASHAIRI
1.Umebarikiwa Malkia wa Mbingu wewe ni nyota ya wasafiri hapa duniani tuombee sisi wanao twaja kwako.
2. Utuongoze tuepuke dhambi vishawishi vingi vinatusonga sana tutie nguvu tumshinde shetani mwovu.
3. Enyi Yesu, Maria pamoja na Yosefu nawatolea moyo roho na uzima wangu mnijalie nife mikononi mwenu.