Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 109 | Umetazamwa mara 367
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C
Mimi nikutazame uso wako katika haki uso wako katika haki. x2 ( (Bwana) Niamkapo (amkapo) nishibishwe (nishibishwe) nishibishe nishibishwe kwa sura yako.) x 2
MASHAIRI
1. Mimi nikutazame uso wako katika haki uso wako katika haki, nikutazame uso wako katika haki.
2. Niamkapo nishibishwe kwa sura yako nishibishwe kwa sura yako, niamkapo nishibishwe kwa sura yako.