Ingia / Jisajili

Bwana Unitume

Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Joseph Nyarobi

Umepakuliwa mara 153 | Umetazamwa mara 579

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwan unitume nikalihubiri neno lako bwana kwa mataifa yote. Milimani nitapanda kutangaza neno lako sitaogopa lolote nikiwa nawe mwenye nguvu Mabondeni nitashuka kutangaza neno lako sitaogopa lolote nikiwa nawe mwenye nguvu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa