Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ubatizo
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 665 | Umetazamwa mara 3,951
Download Nota Download MidiMkavae utu mpya ulioumbwa kwa namna ya Mungu, katika haki na utakatifu wa kweli X2
Amri ya maisha mapya X2 basi, uvueni uongo, mkaseme kweli (kweli) kila mtu na jirani yake jirani yake.
1. Muwe na hasira ila msitende dhambi, jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka
2. Mwibaji asiibe tena bali afanye juhudi, akitenda kazi nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji
3. Neno lolote lililo ovu lisitoke kinywani mweni, bali lililojema na lakumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaolisikia