Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 1,484 | Umetazamwa mara 4,342
Download Nota Download MidiLala kitoto cha mbingu lala, lala kitoto cha mbingu sinzia lala (kwani), malaika watakutunzia X2
(Nao) Maria naye Yusufu, wakiwa wenye furaha kubwa, wambusu mtoto Emmanuel, (nazo) kengele nazo zanena zikiitaja noeli kuwa, mkombozi amezaliwa
1.sinzia mwana wa Mungu kwani sisi tulikungoja, wewe ni mfalme wa amani mkombozi wa dunia, Gloria, tumepewa mtoto, nimwenyeuweza wa kifalme Aleluya
2. Bethlehemu yatetema shangwe kumlaki mwokozi, twendeni tukamwabudu, tumsujudu mkombozi. Gloria.......
3 kengele makanisani zinaimba Aleluya, amezaliwa ni Emmanuel Mungu pamoja nasi. Gloria......