Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 577 | Umetazamwa mara 2,562
Download Nota Download MidiBwana Yesu kweli amefufuka twimbe Aleluya kweli Yesu Kristo kashinda mauti Aleluya Aleluya Aleluya.
Mashairi
1.Utukufu na ukuu unayeye hata milele Aleluya
2. Ni mwokozi wetu kweli kafufuka tumshangilie Aleluya
3. Aleluya Yesu Kristo kafufuka hakika kweli ni mzima.