Ingia / Jisajili

Ee Mungu Nchi Yote Itakusujudia

Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: THOMAS PATRICK

Umepakuliwa mara 695 | Umetazamwa mara 1,728

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu nchi yote itakusujudia nakukuimbia, naam italiimbia jina lako wewe mtukufu. Shairi. 1. Mpigie Mungu Kelele za shangwe nchi yote, imbeni utukufu wa jina lake. 2.Mwambieni Mungu Matendo yako yanatisha yanatisha kama nini.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa