Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 2,506 | Umetazamwa mara 8,043
Download Nota Download MidiKiitikio:
Chakula cha Bwana sasa kipo tayari, sote tuinuke, tujongee mezani, tukampokee Mwokozi aliye katika Ekaristi x2
Mashairi:
1. Yesu wangu mpenzi nitazame, katika unyonge wa ubinadamu niwezeshe nishiriki kikamilifu chakula cha mbingu
2. Sistahili ee Bwana uje kwangu, sema neno Bwana roho yangu ipone, nisamehe dhambi zangu zinazonitenga na upendo wako
3. Milele Ee Bwana tuwe wote, milele Bwana kaa pamoja nami na mwisho wa maisha, niungane nawe makao ya milele