Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,809 | Umetazamwa mara 3,865
Download Nota Download MidiSiku Zake yeye mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma x2
1. Ee Mungu umpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki yako
2. kwa maana atamwokoa mhitaji alipo na nafsi za wahitaji ataziokoa