Ingia / Jisajili

CHINI YA JUA

Mtunzi: Charles M. Ndibatyo
> Mfahamu Zaidi Charles M. Ndibatyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles M. Ndibatyo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Charles Maganga

Umepakuliwa mara 352 | Umetazamwa mara 906

Download Nota
Maneno ya wimbo
CHINI YA JUA SISI CHINI YA JUA MUNGU ANAWEZA YOTE ATAKAYO KUFANYA KWA VIUMBE WAKE. KWANI MWANADAMU ANATAKA NA MWENYEZI MUNGU ANAPANGA KUYAWEZESHA YALIYO MEMA KATIKA REHEMA ZAKE KWETU, NAKUYAKATAA YALIYOMABAYA KWA VIUMBE WAKE. BETI 1} ROHO YANGU INAKUTAMANI KAMA MTU YULE MWENYE KIU, NAWE WANIPONYA NAMAOVU YANGU CHINI YA JUA. 2} KIVULINI MWA MABAWA YAKO NITASHANGILIA NAWE BWANA ROHO YANGU INAMBATANA NA WEWE BWANA WANGU. 3} WEWE WAJUA NA KAZI ZETU NAYO MAWAZO TUNAYO WAZA UTUSAIDIE SISI WAJA WAKO CHINI YA JUA.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa