Ingia / Jisajili

Vipaji vyetu hivi

Mtunzi: Charles M. Ndibatyo
> Mfahamu Zaidi Charles M. Ndibatyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles M. Ndibatyo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Charles Maganga

Umepakuliwa mara 340 | Umetazamwa mara 1,375

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Vipaji vyetu hivi baba tunavileta kwako uvitakase uvibariki Beti 1. Mkate kiini changano twaleta, kazi yamikono yetu, twakutolea pokea. 2. Divai tunda la mzabibu twaleta, kazi yamikono yetu, twakutolea pokea 3. Tunaleta fedha ni pato la jasho, juhudi na nguvu zetu, twakutolea pokea 4. Maombi pamoja na nia twaleta, tabu namahangaiko, twakutolea pokea

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa