Ingia / Jisajili

MAVUNO YETU

Mtunzi: Charles M. Ndibatyo
> Mfahamu Zaidi Charles M. Ndibatyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles M. Ndibatyo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Charles Maganga

Umepakuliwa mara 455 | Umetazamwa mara 1,125

Download Nota
Maneno ya wimbo
Twakushukuru Mungu mwenyezi kwa mavuno uliyotujalia,. Twakushukuru Mungu mwenyezi asante sana. Mabeti 1} Mvua ulitujalia tukapata mazao baba asante 2} Baba tunakushukuru baba asante kwa mema yako. 3} Kweli wewe umwema kwa watu wako Baba umwema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa