Ingia / Jisajili

Ee Mungu Twaomba Huruma Yako

Mtunzi: Charles M. Ndibatyo
> Mfahamu Zaidi Charles M. Ndibatyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles M. Ndibatyo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Charles Maganga

Umepakuliwa mara 211 | Umetazamwa mara 768

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sisi Bwana waja wako tuwadhambi mbele yako, Tuwa dhambi Ee Bwana, Tumekosa Ee Bwana tuhurumie wote sisi na Dunia nzima. Ee Mungu wa huruma, Twaomba huruma yako ya majanga haya yote yasiyo na tiba Ee Mungu wetu. MABETI. 1} Rehema zako Bwana niza milele, Bwana rehema zako, za dumu milele yote 2} Twaomba huruma yako Ee Mungu wetu ya majanga yote uponye Ee Bwana Mungu wetu. 3} Ee Bwana twakuomba sisi wenye dhambi, nawa kosefu Bwana twaomba huruma yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa