Mtunzi: Charles M. Ndibatyo
> Mfahamu Zaidi Charles M. Ndibatyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles M. Ndibatyo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Charles Maganga
Umepakuliwa mara 702 | Umetazamwa mara 2,574
Download NotaEbwana naleta sadaka yangu, sadaka yangu uipokee
ingawaje nikidogo baba naileta kwako, ninakuomba {bwana} uipokee
beti
1. ninaleta kwako bwana nasimama mwenyewe naja naileta kwako ipokee.
2. Ee bwana nakuomba, ubariki nakazi yamikono yangu bwana itakase
3. sala nazo twazileta namaombi yetu kwako twakusihi sana tubariki.