Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,816 | Umetazamwa mara 4,939
Download Nota Download MidiDini ya kweli
ondoka ukawatazame ndugu zako wenye shida hii ndiyo dini ya kweli,umpende ndugu yako yeyote kwani hii ndiyo amri kuu tuliyoachiwa na Bwa na Yesu,amani salama vinatoka kwa Mungu tumuombe yeye tuweze kudumu heeri na baraka twazipata pia,wazee pia na wajane wafariji na kuwapa moyo