Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 1,541
Download Nota Download MidiHeri waendao katika sheria ya Bwana waendao katika sheria ya Bwana
SHAIRI
1. Heri walio kamili njia zao waendao katika sheria ya Bwana,heri wazitiio shuhuda zake wamtafutao kwa moyo wote
2. wewe umetuamuru mausia yako ili sisi tuyatii sana ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako
3.umtendee mtumisi wako ukarimu nipate kuishi nami nitalitii neno lako unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako
4.Ee Bwana unifundishe njia ya amri zako nami nitaishika hata mwisho unifahamishe nami nitaishika sheria yako naam nitaitii kwa moyo wangu wote