Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako Zikae Nasi

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 152

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(K)Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja weweX2 1.Mpigieni Bwana Vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo. Mshukuruni Bwana kwa kinubi, kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa. 2. Kwa kuwa neno la Bwana lina adili na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu. Huzipenda haki na hukumu Nchi imejaa fadhili za Bwana. 3. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, Wazingojea fadhili zake yeye huwaponya nafsi zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa njaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa