Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: W. Kiwango
> Mfahamu Zaidi W. Kiwango
> Tazama Nyimbo nyingine za W. Kiwango

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 870 | Umetazamwa mara 2,516

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki ee Bwana umeyatenda umeyatenda kwa haki ee Bwana x2 .

Mashairi:

1. Kwa kuwa sisi tumetenda wala hatukuzitii amri zako.

2. Ulitukuze jina lako Bwana nakututendea sawasawa na wingi wa huruma yako.


Maoni - Toa Maoni

EMMANUEL MBOGO Sep 20, 2016
Umekaa vizuri, hongera tunazidi kubarikiwa

Toa Maoni yako hapa