Mtunzi: Lyimo Godfrey
> Mfahamu Zaidi Lyimo Godfrey
> Tazama Nyimbo nyingine za Lyimo Godfrey
Makundi Nyimbo: Shukrani | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Godfrey Lyimo
Umepakuliwa mara 479 | Umetazamwa mara 1,905
Download NotaEe Bwana nitakushukuru, nitakushukuru kati ya watu ya watu wako x2
(Mimi) nitakuimbia (mimi) nitakuimbia, nitakuimbia zaburi kati ya watu wako x2
1. Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni; na uaminifu wako hata mawinguni.
2. Ewe Mungu Mungu na utukuzwe juu ya mbingu; na juu ya nchi yote utukufu wako.
3. Mungu amenena kwa utakatifu wake wote; nami nitashangilia nitashangilia.