Mtunzi: Lyimo Godfrey
> Mfahamu Zaidi Lyimo Godfrey
> Tazama Nyimbo nyingine za Lyimo Godfrey
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: KASULE JAMES
Umepakuliwa mara 347 | Umetazamwa mara 1,066
Download Nota Download Midi
Ninajongea meza(ni) Bwana Yesu ni-shibi-she kwa
mwili (na) da-mu yako X2 (Yesu Kristu)
1. We-we ni chakula cha roho zetu Ee Yesu,
wewe ni chakula cha uzima wa- milele.
2. Tu-ulapo mwili na kunywa damu ya Yesu
twatangaza kifo nan a utukufu wa-Bwana.
3. Ee ndugu atuita twende mezani kwake,
tushibishwe roho na furaha ya mbinguni.