Ingia / Jisajili

Ni Shangwe Na Furaha

Mtunzi: Lyimo Godfrey
> Mfahamu Zaidi Lyimo Godfrey
> Tazama Nyimbo nyingine za Lyimo Godfrey

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Godfrey Lyimo

Umepakuliwa mara 80 | Umetazamwa mara 174

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NI SHANGWE NA FURAHA (By Frt Godfrey Lyimo) (Ni shangwe, na furaha, siku hii), Ni sha-ngwe, ni shangwe, (kwani), ni Jubilei X2 Mungu (Mungu Baba) twashukuru (asante) Ni miaka sitini ya Seminari (yetu) (ndiyo) Mtakatifu Thoma wa Akwino. Shangwe (shangwe shangwe) na vifijo (jubilee) Ni miaka sitini ya Seminari (yetu) (ndiyo) Mtakatifu Thoma wa Akwino. 1. Twashukuru Mungu, tunapoadhimisha, miaka sitini jubilee, kwa maombezi yake, Mtakatifu Toma wa Akwino 2. Umetujalia, na makuhani wengi, pia na walei toka hapa, tunasema asante, asante Mungu kwayo miito. 3. Mtakatifu Thoma, uwe mwombezi wetu, katika malezi ya kipadre, ili kwa wito huo, tuweze kumtumikia Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa