Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unifundishe Njia Zako

Mtunzi: Lyimo Godfrey
> Mfahamu Zaidi Lyimo Godfrey
> Tazama Nyimbo nyingine za Lyimo Godfrey

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Godfrey Lyimo

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 54

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UNIFUNDISHE NJIA ZAKO. Ee Bwana unifundishe njia zako, (na) unifundishe njia zako. x2 Nami nitakwenda katika kweli (mimi) nitakwenda katika kweli yako. x2 1. Ee Bwana utege sikio lako, unijibu, kwa maana mimi ni maskini, mimi ni maskini na mhitaji. 2. Unihifadhi nafsi yangu Bwana, kwa maana, mimi ninamcha Bwana Mungu, umwokoe Mtumishi wa-ko. 3. Ee Bwana uifurahishe nafsi, ya mtumishi, nafsi ya mtumishi wako Bwana, nafsi yangu ninakuinulia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa