Ingia / Jisajili

Ee bwana twakuomba upokee vipaji

Mtunzi: Frt. Aidanus Chimazi
> Mfahamu Zaidi Frt. Aidanus Chimazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Aidanus Chimazi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Aidanus Chimazi

Umepakuliwa mara 2,205 | Umetazamwa mara 6,062

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana twakuomba upokee, vipaji vyetu tunavyoleta mbele yako, twaomba uvibariki na uvitakase, twaomba Ee Bwana twakuomba upokee, vipaji vyetu tunavyoleta mbele yako, tumevipata kwa uweza wako. MASHAIRI 1. Twakutolea mkate divai, ni mazao ya mashamba yetu. 2.Vipaji hivi twakutolea, vigeuze mwili na damu yako. 3.Twakutolea na nafsi zetu, na roho zetu pia ziwe zako. 4. Vipaji vyetu vikupendeze, kwa maondoleo ya dhambi zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa