Ingia / Jisajili

EE MUNGU NCHI YOTE ITAKUSUJUDIA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 406 | Umetazamwa mara 1,073

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE MUNGU NCHI YOTE ITA KUSUJUDIA NA KUKUIMBIA NAMU lTALI IMBIA JINA LAKO WEWE MTU KU-U FU.x2 mpigieni mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufuna was JINA lake tukuzeni sifa zake.2.Mwimbieni mungu matendo yako ya tisha Kama Nini kwa ajili ya wingi wanguvu zako adui zako wata kuja kunyenyekea mbelezako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa