Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unifadhili

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 489 | Umetazamwa mara 747

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa X2

Kwa maana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao X2

1. Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako maana nafsi yangu nakuinulia wewe Bwana

2. Bwana ee Bwana uyasikie maombi yangu usikilize sauti ya dua zangu dua zangu

3. Siku ya mateso siku ya mateso yangu nitakuita nitakuita maana utaniitikia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa