Ingia / Jisajili

Mimi nikutazame uso wako

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 331 | Umetazamwa mara 946

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mimi nikutazame (mimi) nikutazame uso wako katika haki niamkapo nishibishwe na sura yako X2

1. .Ee Bwana usikie haki ukisikilize kilio changu utege sikio lako

2. Hukumu yangu na itoke kwako macho yako yatazame mambo ya adili

3. Ee Bwana kwa mkono wako kwa mkono wako uniokoe uniokoe na watu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa