Ingia / Jisajili

Njoni Mfungue Kinywa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 111 | Umetazamwa mara 603

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Yesu akawaambia wanafunzi wake njoni mfungue kinywa akautwaa mkate akawapa aleluya akautwaa mkate akawapa aleluya 1. Wala hakuna mtu katika wale wanafunzi aliyethubutu kumwuliza u nani wewe wakijua ya kuwa ni Bwana 2. Hiyo ndiyo mara ya tatu Yesu kuonekana kuonekana kuonekana na wanafunzi baada ya kufufuka katika wafu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa