Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unirehemu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 560 | Umetazamwa mara 855

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unirehemu unitakase dhambi zangu X2

1. Tugeuze mwenendo wetu/ tufanye vema zaidi

2. Tusirudie mambo yale/ tuliyokosea kwa ujinga

3. Isije ikawa tutafutapo nafasi/ ya kutubu tusiweze kuipata

4. Tukafikiwa ghafla/ na siku ya kufa

5. Uturehemu Ee Bwana/ maana sisi tu wadhambi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa