Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,796 | Umetazamwa mara 6,731
Download Nota Download MidiEe Bwana usikie Kwa sauti yangu ninalia
Moyo wangu umekuambia uso wako nitautafuta
usinifiche uso wako aleluya
Mashairi
1. Unifundishe njia yako ee Mwenyezi Mungu, uniongoze katika njia iliyo sawa
kwa sababu ya adui zangu
2. Naamini nitauona wema wake Mwenyezi Mungu, katika nchi nchi za walio hai
katika nchi ya walio hai