Ingia / Jisajili

Ee Mungu Nimekuita

Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Alan Mvano

Umepakuliwa mara 1,957 | Umetazamwa mara 5,020

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio lako usikie nano langu

Shairi

1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako

2. Lakini mimi nitauona uso wako kwani ni mwadilifu, niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa