Ingia / Jisajili

Maombi Yangu Yafike Mbele Zako

Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Alan Mvano

Umepakuliwa mara 6,065 | Umetazamwa mara 12,769

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Maombi yangu yafike mbele zako, uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana

MAshairi

1. Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele zako

2.Maana nafsi yangu imeshiba taabu, na uhai wangu, uhai wangu umekaribia kuzimu


Maoni - Toa Maoni

yusto lilungu Oct 12, 2016
Wimbo ni mzuri pia unafundisha

Peter Mkongwa Oct 02, 2016
Wimbo mzuri unafikirisha unagusa moyo....ukihusisha mateso ya Yesu.

Toa Maoni yako hapa