Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 4,964 | Umetazamwa mara 10,358
Download Nota Download MidiKiitikio
Tumezitafakari fadhiili zako, tumezitafakari fadhili zako
ee Mungu katikati katikati ya hekalu lako
Mashairi
1. Kama lilivyo jina lako ee Mungu, ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia
2. (Mkono wako wa kuume) x3 umejaa haki