Mtunzi: David Ihiwi
> Tazama Nyimbo nyingine za David Ihiwi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: polycarp kindole
Umepakuliwa mara 3,233 | Umetazamwa mara 8,039
Download Nota Download MidiEe Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia,usikie kwa sauti yangu ninalia. x2
Umekuwa msaada wangu usinitupe e Mungu wangu, wala usiniache e Mungu wa wokovu wangu.
1. Moyo wangu umekuambia uso wako nitautafuta,usinifiche uso wako.
2. Unifundishe njia yako uniongoze katika kweli; kwasababu yao wanioteao.
3. Naamini nitauona nitauona wema wa Bwana, katika nchi ya walio hai.