Mtunzi: David Ihiwi
> Tazama Nyimbo nyingine za David Ihiwi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: polycarp kindole
Umepakuliwa mara 549 | Umetazamwa mara 2,587
Download Nota Download MidiKama vile huko Meriba siku ya Masa jangwani, hapo waliponijaribu baba zenu wakanipima wakayaona matendo yangu.
1. Miaka arobaini, nalihuzunika na kizazi kile, nikasema hao ni watu waliopotoka.
2. Hawakuzijua njia, hawakuzijua njia zangu, nikaapa kwa hasira wasiingie kwangu.
3. Ingekuwa heri leo, leo msikie sauti ya Bwana, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu.