Mtunzi: David Ihiwi
> Tazama Nyimbo nyingine za David Ihiwi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: polycarp kindole
Umepakuliwa mara 3,429 | Umetazamwa mara 7,327
Download NotaNdiwe kuhani hata milele, ndiwe kuhani hata milele, hata milele, kwa mfano wa Melkizedeki.
1. Neno la Bwana kwa Bwana wangu, uketi mkono wako wa kuume, hataniwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.
2. Bwana atainyosha fimbo, atainyosha toka Sayuni, fimbo ya nguvu zako uwe na enzi kati ya adui zako.
3. Bwa kaapa hata ghairi, ameapa wala tena hataghairi, ndiwe kuhani milele kwa mfano wa Melkizedi.