Mtunzi: David Ihiwi
> Tazama Nyimbo nyingine za David Ihiwi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: polycarp kindole
Umepakuliwa mara 1,318 | Umetazamwa mara 3,569
Download NotaKWAAJILI YETU.
Kwaajili yetu mtoto amezaliwa,tumepewa mtoto mtoto mwanaume, na uweza wakifalme, utakuwa, begani mwake,ataitwa, jina lake, Mshauri wa ajabu Mungu Mwenye Nguvu.
1.Maongeo yake na pia na enzi yake hayatakuwa na mwisho.
2.Mbingu zifurahi nchi ishangilie bahari nayo ivume.