Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 620 | Umetazamwa mara 1,943
Download Nota Download MidiEe Bwana Uwape Amani
Wimbo wa Mwanzo jumapili ya 24 ya Mwaka
Kiitikio,
Ee Bwana uwape Amani uwape Amani wakungojaoX2,
Ili watu wawasadiki Manabii wako,Ili watu wawasadiki Manabii wakoX2.
Mashairi,
1.Usikilize sala ya mtumwa wako,na yataifa lako la Israeli.
2.Wote-wakaao duniani kote,wata-jua kwamba wewe ni Mungu.