Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 520 | Umetazamwa mara 2,232
Download Nota Download MidiEE BWANA UWE PAMOJA NAMI
KIITIKIO:Ee Bwana uwe pamoja nami katika taabu zangu X2,Uwe pamoja nami katika taabu,katika taabu zangu X2
MASHAIRI:
1.Aketiye mahali pa siri pake aliye juu atakaa katika uvuli wake mwenyezi.
2.Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu Mungu wangu nitakayemtumainia.
3.Mabaya hayatakupata wewe wala tauni haitaikaribia hema yako.
4.Kwa kuwa atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote.
5.Ataniita nami nitamwitikia nitakuwa pamoja naye taabuni nitamwokoa na kumtukuza.