Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 1,066 | Umetazamwa mara 2,699
Download Nota Download MidiKIITIKIO:Kristo alijinyenyekeza x2,akawa mtii hata mauti naam mauti ya msalaba x2
MASHAIRI
1.Kwa hiyo Mungu alimwadhimisha mno,akamkirimia jina lile, jina lile lipitalo kila jina.
2.Nanyi mnaomcha Bwana msifuni,enyi nyote mlio wazao, mlio wazao wa Yakobo mtukuzeni.
3.Ili kwa heshima ya jina lake yesu, vitu vyote duniani na mbinguni, vitu vyote vimuabudu yeye.
4.Kila ulimi ukiri ya kwamba,Yesu Kristo ni Bwana, ni Bwana, Yesu kristo ni Bwana wake Mungu.