Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 478 | Umetazamwa mara 2,532
Download Nota Download MidiSala yangu na ipae mbele zako kama moshi wa ubani kama moshi wa ubani.
Mashairi
1. Pokea sadaka yetu bariki vipaji vyetu tujaze pia baraka tuishi kwa upendo
2. Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu pamoja nayo maisha maisha ya kila siku.