Maneno ya wimbo
Ee Mungu tunakushukuru kwa sababu umetutendea kwa sababu umetutendea mambo makuu X2Umetuvusha milima na mabonde wewe umetupigania sio kwa juhudi zetu sisi tumefika hapa tulipo bali ni kwa neema zako Bwana X21. Ee Mungu tunakushukuru tunakushukuru kwa kuwa jina lako li karibu watu huyasimulia matendo yako ya ajabu2. Wewe ndiwe nguvu yetu wewe ndiwe ngao yetu umekuwa msaada wetu katika shida katika raha daima upo nasi3. Sifa utukufu heshima vyote ni vyako Ee Mungu uliyetufikisha hapa jina lako lihimidiwe tangu leo na hata milele
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu