Ingia / Jisajili

Enendeni Ulimwenguni Mwote

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Miito | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 320 | Umetazamwa mara 475

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri mkaihubiri mkaihubiri injili injili X2

1. Enyi mataifa yote msifuni Bwana enyi watu wote mhimidini

2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu na uaminifu wa Bwana ni wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa