Ingia / Jisajili

Ee Mungu Wangu Mfalme

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 11,690 | Umetazamwa mara 21,333

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza, nitalihimidi jina lako milele x 2

  1. Kila siku nitakuhimidi ee Mungu wangu, nitalisifu jina lako milele na milele.
     
  2. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema. 

Maoni - Toa Maoni

Benedictvs Elivas Jul 20, 2017
Napenda kufahamu jinsi ya kuapload nyimbo humu na jinsi ya kutengeneza mid au kuupanga mziki vizuri Ahsante

Eleuter Massawe Oct 24, 2016
Ninakupongeza admin kwa kazi hii kubwa Mungu akubariki mpaka ushangae

Toa Maoni yako hapa