Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 16
Download Nota Download MidiEkaristi ni jua la ulimwengu, huangaza mioyo yetu, kila tulapo kila tunywapo tunapata uzima wa milele.
1. Tujongee meza yake Bwana tukale mwili wake tukanywe damu yake tupate uzima wa milele.
2. Twendeni wote tukampokee anatuita kwake katika meza yake tupate uzima wa milele.
3. Ni mwanakondoo wa Mungu baba aondoaye dhambi za ulimwengu tumekombolewa kwa damu yake.