Ingia / Jisajili

Njoni Tumwabudu Mungu

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 5

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Njoni tumwabudu Mungu.

1. Huu ndio mwili wake Yesu, ujifichao altareni. Njoni...

2. Alipompano mbuye Yesu, tiwapembedze ambuye Yesu. Njoni...

3. Namwinamia Yesu wa hostia, katika yeye kweli nasadiki. Njoni...

4. Tunapolemewa na madhambi, yeye mwenyewe atusamehe. Njoni...

5. Asababisha furaha pote, mashariki hata magharibi. Njoni...

6. Tusimamie sisi wanao, tushinde vita vya duniani. Njoni...


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa