Ingia / Jisajili

Asante Bwana Yesu

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 15

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Asante Bwana asante Yesu asante sana kwa mema yako yote.

1. a) Umetulisha kwa mwili wako, asante sana kwa mema yako yote. b) Umetunywesha kwa damu yako, asante...

2. a) Umetukinga ajali nyingi, asante... b) Umetuponya maradhi mengi, asante...

3.a) Twakuonesha upendo sasa, asante... b) Uwe na sisi maishani mwetu, asante...



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa