Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 5
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
Bwana ni mfalme amejivika taji.
1. Bwana ametamaraki amejivika adhama na kujikaza nguvu.
2. Naam ulimwengu umethibitika usitikisike kiti chako kimekuwa thabiti kutokea zamani, wewe ndiwe uliye tangu mwanzo