Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 3,809 | Umetazamwa mara 7,620
Download Nota Download MidiKiitikio
Enyi watu wa Galilaya, mbona imesimama mkitazama mbinguni?x2
(Atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake mbinguni Aleluya.)x2
Mashairi
1. Bwana Yesu alipokuwa anawabariki akachukuliwa mbinguni.
2.Nao watu wa Galilaya walistaajabu mambo ya ukuu wake Bwana.
3.Mpigieni Mungu wenu kelele za shangwe, pigeni makofi kwa zaburi.