Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 1,437 | Umetazamwa mara 3,803
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Dondokeni enyi mbingu (toka juu) na mawingu, yamwage mwenye haki, nchi ifunuke na kumtoa mwokozi.(x2)
MASHAIRI:
1. Nimefanya yote haya, ili mjue, hakuna mwingine kama mimi.
2. Nimekuchagua wewe, ili uwachunge, kondoo wangu wa Israeli.
3. Nitavunja kuta zote, na milima yote, na kuiandaa njia yako.